Ringo Edmund
JF-Expert Member
- May 10, 2010
- 4,879
- 1,134
Mwambie Zitto aoe kwanza ndo aje kutangaza nia, Hatutaruhusu Rais kapera.
Naona kama vile Dr Slaa, hatazungumza nawe utaendelea kubikia na WOSIA wake. Kimsingi si kuwa watu hawamuingi Zitto, ila ni kama taratibu anazotumia kufikia malengo fulani fulani hivi, ndio yenye kubishaniwa. Wengine wanaiangalia hii hali ambayo ni "fragile" kuwa kila mmoja akijiinua tu, inaweza kuleta mipasuko mikubwa na yote waliojikusanyia mwisho wa siku yakawa sifuri. Kwakuwa wote (Zitto akiwa front line) wamekijenga sana chama, kwanini wasiendelee kusimama pamoja kufikia lengo la kuiangusha ccm? Mimi nitakuwa na fursaha sana pale cdm itakaposimama na kusema kuwa kwa vikao vya chama ikiwa ni pamoja na "caucus" zake, jina la aliyeteuliwa ni fulani! Akiwa Zitto au yeyote, itakuwa furaha kubwa. Cha msingi ni kuwa uwe msimamo wa pamoja pasipo kutengeneza mazingira ya kukiyumbisha chama katika nyakati hizi za hatari. Wasalaam aleykum!Kufuatia mimi kuufahamu msimamo wa Dr. Slaa, lets support Zitto or anybody else!, I wish Zitto all the best!. Wasalaam.
Hivi na iwe kweli mh zitto awe na nia ya kugombea urais 2015 kuna tatizo gani kwani ndivyo ilivyo siasa chama ndio kitakachoamua vipi leo mnaanza kutoka mapovu ya midomo hata wewe kama cfa unazo sio mbaya kuonesha nia yako au kwakua zitto hatoki upande ule +