Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

urudishe tena kwahao waswahili tena kazi itafanyika kweli hata ndege itauzwa kama chuma chakavu na reli ndio haitafanyakazi
 
Akisimama Membe Lowasa au Lisu anachukua nchi mapema hata kabla kura kuhesabiwa. Akishinda tujiandae na vita visivyo lazima kati yetu na Rwanda na baada ya kuipiga Rwanda ataipiga Malawi. Membe ni Mbabe sana na hatupo tayari kwa hasara.
 
Unataka tra wamtembelee kuanzia leo!?? Au kama ana mjengo mitaa ya barabarani basi watakuja tanroads kupanua barabara kuweka njia nane!
 
Membe agombee kwa chama gani wakati mmebadili kifungu kwenye katiba kumruhusu mwenyekiti wa chama ndo awe mgombea urais, wakati mwenyekiti wenu ni sizonje
 
Mkuu kwa nn unajitoa akili hujui kwamba katiba ya chama ime badilika
 
Kama mlikua hamjui, magufuli ameishabadili Katiba ya ccm mwaka jana agombee yeye tu kutoka chama hicho uchaguzi ujao hivyo ata msiwategemee wengine kuchukua fomu ndani ya ccm.
 
Mexene et al., naomba nipigwe ban ya mwaka.kunamijitu inakera mnoo mpaka watamani kuyapiga risas za ubongo.....endeleeni kushangilia hivyo hivyo, mpaka pale atakapoanza kuuwa watu wake wa karibu akihisi wanamuhujumu ndiyo akili zitawakaa saw a.
Mlipo ambiwa hakuna aliye salama ,mnadhan utani. Vyombo vya habari kwapani, bunge kwapani,mahakama kwapani , upinzani kwapani, anaanza na dini kuzitia kwapani maana uchunguzi wa kakobe tumeusikia.
Ule mwisho bado, mpaka atakapo anza kuuwa watu wa chama chake na washauri wake wa karibu ,ndiyo ule utakao kuwa wakati ulio tabiriwa.....endeleeni kushangilia , imbeni mapambio yotee, tukaneni wanaomkosoa woteee, wakati unakuja kila mtu atalia ,kuomboleza na kusaga meno na hakutakuwa na kimbilio.......

Bavicha mmekosa mada mmeanza kutapatapa
Nyumbu wa kijivu !
 
Siku nyingine unapo ni quote uandike vitu vya maana na sio matakataka kama haya .
 
CCM NITAWACHAGUA MKIMTOA MAGUFULI TU NA UPINZANI UTAKUWA WA KWELI MILELE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…