Uchaguzi 2020 Urais 2020: Lazaro Nyalandu anaonyesha kujipanga vilivyo

Uchaguzi 2020 Urais 2020: Lazaro Nyalandu anaonyesha kujipanga vilivyo

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Naona huyu Mhe. kweli kadhamiria, na hii picha ya hili gari ndio ushahidi wenyewe.Tukumbuke hapa yeye bado ni mti nia tu na sio mgombea rasimi

Nampa hongera kwa ubunifu na kuonyesha mfano kwa wengine, ila awe makini asijeenguliwa kwa madai ya kuanza kampeni kabla ya wakati ingawa wa upande wa pili wao teyari wameshaanza


1594488760759.png
 
Naiona roho ya Membe ndani ya mwili wa Nyalandu. Welcome Membe to team Nyalandu under special agreement with Tundu Lissu. Mti wa mkomamanga na kutokuilamba nyongo iliyotapikwa.
 
Akipigwa chini kura za maoni kama Cecil Mwembe na Sumaye na akaliamsha dude msianze tena kumpa maneno ya kashfa.
 
Sbb ya bus la campaign? 😅 Mwenyekiti wenu 2015 si alikuwa na chopa, au mmeona chopa haifai sasa mmekuja na bus? 2015 Mh. Lowassa akiwa upinzani ndio alijipanga haijawahi tokea hadi CCM tuliogopa sana, magari ya kisasa yenye jukwaa na kila kitu cha kampeni yalikuwepo, helikopta etc sioni Lazaro akimfikia Mzee Lowassa hata 5%.. Hata 5% hajamfikia.. CCM ni zaidi ya Chama nikwambie.. Haa kila la kheri na maandalizi yenu
 
Naona huyu Mhe. kweli kadhamiria, na hii picha ya hili gari ndio ushahidi wenyewe.Tukumbuke hapa yeye bado ni mti nia tu na sio mgombea rasimi.

Nampa hongera kwa ubunifu na kuonyesha mfano kwa wengine, ila awe makini asijeenguliwa kwa madai ya kuanza kampeni kabla ya wakati ingawa wa upande wa pili wao teyari wameshaanza.


View attachment 1503975
Na hapo wee ndo salary slip? Ubavuni mwa gari....
 
Back
Top Bottom