Uchaguzi 2020 Urais CHADEMA: Msigwa bora kuliko wote kwa 2020

Uchaguzi 2020 Urais CHADEMA: Msigwa bora kuliko wote kwa 2020

kalooo son of Kambarage

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2016
Posts
275
Reaction score
181
Hatujapata serikali inayotaka maendeleo bali tumetaka serikali kwa kutatua kero ndogondogo.

Elimu ya Cheti tu bado haijasaidia kutatua changamoto zetu.

Utawala usioendana na sauti za wananchi kuhusu msitakabali Wa kitaifa hasa utoaji wa haki ni sawa na kuongozwa na watu wasiokuwa na maono wala ndoto.

Haya ni machache ya mtia nia wa urais kupitia Chadema, kwangu binafsi sijaona mtu wa kumlinganisha naye.

Naomba kusema twende na Peter Msigwa 2020

IMG_xypt94.jpg
 
Waliopo /waliopita Hawana tofauti na kingwendu wote vituko dah /Kazi tu
As long as they violate human rights, chochote wanachokifanya ni najisi!, batili, vituko and the like!
 
Kama kweli hujaona maendeleo mpaka leo basi tutashindwa kukuchagua hatujui unataka nini.
Mkuu kuna kuna kutatua kero ndogondogo na maendeleo ,maendeleo yanaletavmabadiliko makubwa kwa maisha ya kawaida kwa watu lakini kutatua kero ndo kuwa namaisha yaleyale
 
Mkuu kuna kuna kutatua kero ndogondogo na maendeleo ,maendeleo yanaletavmabadiliko makubwa kwa maisha ya kawaida kwa watu lakini kutatua kero ndo kuwa namaisha yaleyale
Mku mimi labda sijui maendeleo ni yapi unayasema tupe mifano ndo tukuelewe vizuri.
 
Mku mimi labda sijui maendeleo ni yapi unayasema tupe mifano ndo tukuelewe vizuri.
Maendeleo ni mikakati timilifu amba yo imetengenezwa na ikakamilika kumletea mwananchi Wa kawaida unafuu Wa maisha siyo kama tunakusanya kodi kubwa lakini watu wetu wanalia kukicha.
 
kalooo,
Kwa Tanzania Kila mmoja anafaa hata Kingwendu anafaa, maana tunaona vituko kwa waliopo/waliopita hawana tofuti na Kingwendu!

Kwahiyo Kingwendu ndo mtu wa hovyo sana!

Hizi dharau hizi, sijui mnamchukuliaje..!!
 
Back
Top Bottom