Twende na ndugu Membe...CCMBaada ya kusubiri kwa mda mrefu kusikiliza watangaza nia ndani ya chadema,nimeona watu maalum tu ndio wameweka nia. Mpk jana ni
1.Lissu
2.Msigwa
3.Nyalandu.
Inavyoonekana ni kale ka kamati cha ruzuku ndio wanatangaza. Huo utoto ni mkubwa katika kujenga demokrasia waliyokuwa wapigiwa kelel kuwa mbona haikuwepo toka 2010.
Yapi maoni yako?
Baada ya kusubiri kwa mda mrefu kusikiliza watangaza nia ndani ya chadema,nimeona watu maalum tu ndio wameweka nia. Mpk jana ni

Kuiunga mkono Chadema kipindi hiki ni zaidi ya kujitoa ufahamu. Jamaa ni Wasanii mchana kweupe na kichwani Vichwa Butu yaani Wepesiiiiiiiii.....

Kabisa. Hoja zimefukiwa na JPM,wanatembea na vihoja

Wamebaki kuzusha eti wenyekiti wao kavamiwa. Lichama limeromoka hil.
Hii ni fursa ya wao kusema yale wanayotamani hata kama hakuna uwezekano wa kushinda huenda yale mazuri yenye tija yakachukuliwa na Chama kitakachoshinda na kutekelezwa; hivi unafahamu sera ya elimu bure CCM ilikuwa shule za msingi pekee lakini kutokana na ILANI YA CHADEMA kuweka Msingi mpaka Chuo kikuu ndio CCM ikaongeza wigo wa elimu bure hadi Form IV?Chadema wanapoteza muda ingawa ni haki yao kikatiba.
Chadema wangeweza kuwekeza huo muda na rasilimali kwenye mambo mengine.
Acha kulia lia.Lichama limeromoka,ndiyo kinachokuuma ni kipi?Hongera yenu kwa kuwa mtapita bila kupingwa
Baada ya kusubiri kwa mda mrefu kusikiliza watangaza nia ndani ya chadema,nimeona watu maalum tu ndio wameweka nia. Mpk jana ni
1.Lissu
2.Msigwa
3.Nyalandu.
Inavyoonekana ni kale ka kamati cha ruzuku ndio wanatangaza. Huo utoto ni mkubwa katika kujenga demokrasia waliyokuwa wapigiwa kelel kuwa mbona haikuwepo toka 2010.
Yapi maoni yako?
hata vipaumbele vyao vya nia havina ushawishi kwa wanachama wa kambi ya utawala,
Kabisa. Hoja zimefukiwa na JPM,wanatembea na vihoja
Chadema wanapoteza muda ingawa ni haki yao kikatiba.
Chadema wangeweza kuwekeza huo muda na rasilimali kwenye mambo mengine.
Nyie pimbi wa chama zee mnatokea mikoa ipi? Ile yenye wachawi wakubwa na umaskini wa kutupa? Manake huko ndio ngome za ccm zilipo.Kuiunga mkono Chadema kipindi hiki ni zaidi ya kujitoa ufahamu. Jamaa ni Wasanii mchana kweupe na kichwani Vichwa Butu yaani Wepesiiiiiiiii.....