Urais sekomu

sabai

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
69
Reaction score
7
hayawi yamekuwa hatimaye mchakato wa urais ktk chuo kikuu cha kumbukumbu ya sebastian kolowa umekaribia tayari wagombea wafuatao wamechukua form, nao ni:

1.tumaini mapunda,(hana lolote jipya anajipendekeza sana kwa uongozi wa chuo na ni ccm oriented, kwa kifupi wanasekomu huyu mtu ni nyoka).
2. Chacha, daniel(kamanda mwanamapinduzi wa ukweli mkurya asiyekuwa na upendeleo anafaa kuwa kiongozi kwani amesimamia serikali hasa anapokuwa bungeni si muoga, ni jasiri, ana mopango mizuri ni mtu wa watu toeni kura kwake)

3. Chibwi, joramu( kilaza kilicho kimbilia somo la uraia eti anataka akapumzike shuleni kiongozi gani huyu anayetaka kupumzika bbaadala ya kuchapa kazi, hatufai hana lolote akiongea ni kama vile ana kimbizwa hatufai)

4.ally, rama (dogo anaweza ila anawapiga akina mama ana anatumia mlengo wa kivyayama anajiita bmwana chadema halisi ila ndo hivyi kazi kwa wana sekomu ss kazi yetu ni kutahadharisha)

5. Ihonde(ccm, mzee mwenye pesa anataka kutumia kodi za wananchi kuchukua urais,kazi kwenu mm macho yangu).
6.samara(anajiita mwanasheria, anasifa za kuwa rais kisa anagari la mkopo alikopa crdb, nmb, kazi kwenu) msimamo wangu upon kwa ally rama. Je wadau mnasemaje?
 
Huko chuon kwenu hakuna mbao za matangazo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…