Urais unamfaa January Makamba kwa sasa

Hakuna kituu
Kipaza sauti tuu huyo
Hana Ishu na ni msaliti huyoo

Leo nasema hivyo kama huamini iko siku utakuja kuamini.

Naa zaidi ni kipenzi cha mama huyoo
 
Hakuna kituu
Kipaza sauti tuu huyo
Hana Ishu na ni msaliti huyoo

Leo nasema hivyo kama huamini iko siku utakuja kuamini.

Naa zaidi ni kipenzi cha mama huyoo
Wakati huo huo alikuwa ni mbaya wa mzee Meco
 
Hizi ndio akili za makalio, watu akili zero kabisa.

January awe Rais? Eti Makonda awe nani? Mjue watoa mada kama hawa ni vilaza, taburalasa, kihiyo, hivyo mwacheni utumbo mtupu kichwani hana kitu.

January will never be the president of this country, he has no potential, no trust, to the highest rank. Upigaji deal hauna nafasi tena.
 
Huyu jamaa akipewa kiti tyu chakwanza anawauza wananchi!
 
Labda uraisi wa wasafi au twanga pepeta,hata wasambaa wenzake hawawezi kumpa uraisi huyo alieshikwa kaiba mtihani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…