Nyie mlipendelewa na akina Basil, Mtei,Yona nk.sasa ni kutesa kwa zamuSisi wa Kilimanjaro tuna furaha wakati wote!
Hata wanasiasa wanatuheshimu.
Ukisikiaga watu wana sifa za kijinga wapo kilimanjaro. wilaya za mkoa wa kilimanjaro zina maendeleo gani? Hakuna wilaya hata moja ina hadhi ya mji. wilaya ya Rombo imedoda pale, wilaya za Hai na Siha bado ni miji midogo hata havijajengeka bado. Wilaya ya Mwanga mji ni bora hata makao makuu ya Tarafa na Same mpaka leo ina benki moja NMB, mji umedoda hakuna maendeleo ya maana. kwa watanzania msioufahamu huu mkoa mtadanganywa sana. Tatizo lao wana midomo sana na sifa za kijinda.Sisi wa Kilimanjaro tuna furaha wakati wote!
Hata wanasiasa wanatuheshimu.
Maendeleo hutafutwa, WATU HUJIENDELEZA wenyewe kwa UTAMBULIZI wa mahitaji na malengo yao. Hawapelekewi !Sisi wa Kilimanjaro tuna furaha wakati wote!
Hata wanasiasa wanatuheshimu.