Urais wa Dkt. John Pombe Magufuli kuendeleza Wilaya ya Chato unatufundisha nini?

Huoni kama ni ubinafsi mkubwa huo? Tabia ambayo ndiyo inayoturudisha nyuma waafrika kwa kiasi kikubwa hadi leo.
Maendeleo ya nchi kwa kutumia hela za uma yanaamuliwa bungeni. Na hii ni kwasababu hizi ni kodi zetu wanannchi wote.
Sasa kitendo cha mtu mmoja kuchukua kodi za wannchi na kuzipeleka kwao tena kwa upendeleo ni ubinafsi mkubwa unaotakiwa kukemewa kwa nguvu zote.

Aachwe mbunge apeleke mahitajio yake bungeni na apangiwe miradi yake kwa usawa kama sehemu zingine.
Kuna viongozi wa kiafrika wamewahi fanya hivi zamani na matokeo yake nchi zao hazijawa stable hadi leo.


Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kila Rais ajae ajenge kwao kwanza ndo fundisho ilo bila kupindisha subiri na utaona
 
Hata Mobutu alijenga mji aliotoka/zaliwa
 
Nilishajiambia nikishika nchi kijiji changu wageni watamiminika toka pande zadunia jinsi ntavyokiinua,chakito inatakiwa izidi arusha na moshi kwamaendeleo ofukozi utalii woote Kule kaskazini ntauhamishia chakto na hakuna wakunizuia nasema uwongo nduguzangu??!!
Na olewao waniongezee muda ndonitaifanya dubei ofu ze Tanzania!and Ifu yu sink to stop me... hiiii! yu wilu stopu yuaselv about yua laifu on ze Tanzania in diid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…