Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,770
- 5,423
Mnafanya mambo ya kitoto ndo maana wanasheria wenye "AKILI" hawapotezi muda na mambo ya kitoto kama kuchagua Rais wa mwaka mmoja!Ati, layman anampa mwanasheria ushauri wa kisheria,
Bwahahaha, maajabu hayaishi Tanzania.....
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Ndiyo, Rais wa TLS ana impact gani hapa Nchini !Rais wa DARUSO
😆😆😆😆Rais wa DARUSO
Bora wa DARUSO huwa akiitisha maandamono polisi wanakuwaga machoNdiyo, Rais wa TLS ana impact gani hapa Nchini !
Ni awamu ya "KUBAGAZA" wasomi hii mkuuAti, layman anampa mwanasheria ushauri wa kisheria,
Bwahahaha, maajabu hayaishi Tanzania.....
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
TLS is a professional body na siyo kigenge cha wanasiasa kama ambavyo wewe unafikiria kichwani kwako. Ile taasisi inaendeshwa kwa sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali siyo matakwa ya Raisi wa TLS kama ambavyo wanasiasa mnavyoamua kuendesha siasa za UVCCM na BAVICHA.Mnafanya mambo ya kitoto ndo maana wanasheria wenye "AKILI" hawapotezi muda na mambo ya kitoto kama kuchagua Rais wa mwaka mmoja!
Mko mawakili zaidi ya elfu kumi (10,000), waliofika hapo Arusha ni asilimia ngapi ya wote ?! Ukijumlisha kura zilizopigwa hazifika hata 1,000 ! Too childish!
Mwakani tena mtakutana kuchagua tena Rais badala ya kukutana kwenye grand meeting ya kuangalia mambo makubwa ya kisheria yanayohusu Nchi kama vile Katiba Mpya n.k!
Mambo yenu Wanasheria wa Tanzania ni ya kibongo fleva bongo fleva hivi!
Hawana impact yoyote, sheria kandamizi zinapitishwa wao wametulia tu.Ndiyo, Rais wa TLS ana impact gani hapa Nchini !
Nilitaka kuandika hapa Ila naona unemuelezea huyu mtu asipoelewa basi utakuwa wivu wa kike tuTLS is a professional body na siyo kigenge cha wanasiasa kama ambavyo wewe unafikiria kichwani kwako. Ile taasisi inaendeshwa kwa sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali siyo matakwa ya Raisi wa TLS kama ambavyo wanasiasa mnavyoamua kuendesha siasa za UVCCM na BAVICHA.
Pili, TLS ina chapters: Unazifahamu hata chapters wewe ??? Hivyo siyo lazima wote twende Arusha kuchagua Raisi. Hizi Chapters zinasaidia mambo mbalimbali ya wanasheria na jamii yote kwa ujumla, hasahasa utoaji wa bora wa haki na utawala bora wa sheria.
Tatu, TLS ina vyombo vyake vya kimaamuzi kama Annual General Meeting (AGM) ambavyo vina nguvu. Raisi wa TLS kazi yake ni kusimamia miongozo yote ambayo inatolewa na AGM hivyo hajiamulii tu, kama wewe ambavyo unataka aamue. Kile ni chombo cha kitaalamu (A Professional Body) siyo cha kisiasa, japo mara chache hufanya shughuli za kisiasa kwasababu haziepukiki.
Nne, dunia nzima kuanzia Uingereza Raisi wa The Law Society of England and Wales hukaa madarakani kwa mwaka mmoja tu. Raisi huwa kama CEO akifuata maelekezo ya AGM, na hajiamuliii tu vitu vyake kama wewe unavyofikiria kichwani mwako.
.....Kabla hujatushauri sisi wanasheria kuhusu sheria nakushauri kasome kwanza sheria......
Wewe Layman kutaka kutushauri sisi Professionals on how to do our jobs properly it's similar to lowly Spartan trying to teach Ares (The god of war) basic combat skills. It's total abalone and a monkey business....
STOP IT BEFORE YOU EMBARRASS YOURSELF, TLS siyo BAVICHA au UVCCM..
Nahisi TLS ndicho chama cha kitaaluma cha hovyo kabisa Tanzania. Kinazidiwa hata na CWT ambacho ingawa sio cha kitaaluma, angalau kinatoa t-shirts siku za Mei Mosi kwa wanachama wake wakiwemo akina tindo na Mmawia! Ahahahahahahahaha!Mnafanya mambo ya kitoto ndo maana wanasheria wenye "AKILI" hawapotezi muda na mambo ya kitoto kama kuchagua Rais wa mwaka mmoja!
Mko mawakili zaidi ya elfu kumi (10,000), waliofika hapo Arusha ni asilimia ngapi ya wote ?! Ukijumlisha kura zilizopigwa hazifika hata 1,000 ! Too childish!
Mwakani tena mtakutana kuchagua tena Rais badala ya kukutana kwenye grand meeting ya kuangalia mambo makubwa ya kisheria yanayohusu Nchi kama vile Katiba Mpya n.k!
Mambo yenu Wanasheria wa Tanzania ni ya kibongo fleva bongo fleva hivi!
Asante kwa maelezo yako ila ukweli utabaki kuwa taaaisi yenu haina impact na sijawahi ona impact yake kwa jamii pamoja na kuwa imeanzisha muda mrefu, yaani hata kama mpo au msiwepo hakuna madhara bora hata Wale watetezi wa haki za binadamu wakina enzi za kina Bisimba, hata Magoti anamzidi rais wa TLSTLS is a professional body na siyo kigenge cha wanasiasa kama ambavyo wewe unafikiria kichwani kwako. Ile taasisi inaendeshwa kwa sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali siyo matakwa ya Raisi wa TLS kama ambavyo wanasiasa mnavyoamua kuendesha siasa za UVCCM na BAVICHA.
Pili, TLS ina chapters: Unazifahamu hata chapters wewe ??? Hivyo siyo lazima wote twende Arusha kuchagua Raisi. Hizi Chapters zinasaidia mambo mbalimbali ya wanasheria na jamii yote kwa ujumla, hasahasa utoaji wa bora wa haki na utawala bora wa sheria.
Tatu, TLS ina vyombo vyake vya kimaamuzi kama Annual General Meeting (AGM) ambavyo vina nguvu. Raisi wa TLS kazi yake ni kusimamia miongozo yote ambayo inatolewa na AGM hivyo hajiamulii tu, kama wewe ambavyo unataka aamue. Kile ni chombo cha kitaalamu (A Professional Body) siyo cha kisiasa, japo mara chache hufanya shughuli za kisiasa kwasababu haziepukiki.
Nne, dunia nzima kuanzia Uingereza Raisi wa The Law Society of England and Wales hukaa madarakani kwa mwaka mmoja tu. Raisi huwa kama CEO akifuata maelekezo ya AGM, na hajiamuliii tu vitu vyake kama wewe unavyofikiria kichwani mwako.
.....Kabla hujatushauri sisi wanasheria kuhusu sheria nakushauri kasome kwanza sheria......
Wewe Layman kutaka kutushauri sisi Professionals on how to do our jobs properly it's similar to lowly Spartan trying to teach Ares (The god of war) basic combat skills. It's total abalone and a monkey business....
STOP IT BEFORE YOU EMBARRASS YOURSELF, TLS siyo BAVICHA au UVCCM..
Umemaliza mkuuMnafanya mambo ya kitoto ndo maana wanasheria wenye "AKILI" hawapotezi muda na mambo ya kitoto kama kuchagua Rais wa mwaka mmoja!
Mko mawakili zaidi ya elfu kumi (10,000), waliofika hapo Arusha ni asilimia ngapi ya wote ?! Ukijumlisha kura zilizopigwa hazifika hata 1,000 ! Too childish!
Mwakani tena mtakutana kuchagua tena Rais badala ya kukutana kwenye grand meeting ya kuangalia mambo makubwa ya kisheria yanayohusu Nchi kama vile Katiba Mpya n.k!
Mambo yenu Wanasheria wa Tanzania ni ya kibongo fleva bongo fleva hivi!
Hongera msukuma Hosea kuwa rais wa TLSSitaki kwenda deep , ila ninachowashauri Wanasheria (TLS) badilisheni katiba yenu/sheria at least Rais wa TLS akae madarakani kwa miaka 3. Urais wa TLS hauna impact ya maana kwenye Nchi.
Ni kama Urais wa DARUSO tu !
Wanasheria acheni mambo ya kitoto,onyesheni maturity kwenye projection zenu!