Urais wa TLS hauna impact ya maana!

Kufanya uchaguzi kila mwaka ni kupoteza muda na hamasa ya uchaguzi wenyewe.Fanyeni kila baada ya miaka 3
 
Nilitaka kuandika hapa Ila naona unemuelezea huyu mtu asipoelewa basi utakuwa wivu wa kike tu
Kama kwi Kuna hiyo imapct Mbona hamjitokezi kwenda kuchangia viongozi? Mpo zaidi ya 10000 ila wanaoenda kupiga kura hawazidi 700
 
Kama kwi Kuna hiyo imapct Mbona hamjitokezi kwenda kuchangia viongozi? Mpo zaidi ya 10000 ila wanaoenda kupiga kura hawazidi 700
Hata kura za nchi zinapigwa na watu wachache acha kuweka vigezo visivyo na misingi. Pia kuna mambo mengi yanachangia kuna watu wamekosa hela ya kusafiri pia maana unajisafirisha na unajilipia, pia kuna sababu nyingi sana usiwe mfinyu wa kufikiri.

Halafu why mnahangaika na TLS as if ni chama cha siasa? TLS haina tofauti na chama cha walimu, madaktari, engineers etc.
 
Unaambiwa Tanzania ndio nchi pekee katika uchaguzi unaoshirikisha mawakili wasomi tu huwa na kura zilizoharibika
 
Unachoandika hapa ni sawa na leo mimi kutoka hadharani na kusema sioni manufaa yoyote ya Medical Association of Tanzania (MAT) kwasababu huduma za afya bado ziko chini. Nitakuwa mpumbavu wa mwisho kwasababu kile ni chombo cha kitaalamu kimetengenezwa kusaidia tasnia husika, serikali, jamii na wadau mbalimbali.

Halafu wewe Tanganyika Law Society (TLS) si umeifahamu tu hivi karibuni baada ya kuja mjini na kununua simu janja (Smart-Phone) ??? Hebu tujaribu kwanza kuwa wakweli katika hili..
 
Mfano halisi kabisa sitarajii ataendelea kuuliza pumba zake
 
Nahisi TLS ndicho chama cha kitaaluma cha hovyo kabisa Tanzania. Kinazidiwa hata na CWT ambacho ingawa sio cha kitaaluma, angalau kinatoa t-shirts siku za Mei Mosi kwa wanachama wake wakiwemo akina tindo na Mmawia! Ahahahahahahahaha!
Mdogo wangu Mmawia kuna mtu anakuletea kashfa huku....
 
Mimi nimewadharau juzi juzi walipotoa tamko eti Katiba inamlazimisha Rais Samia kuvunja Baraza la Mawaziri na kuteua Waziri Mkuu mpya na kumwaapisha!! Nikaamini kumbe TLS ni kikundi cha Wanaharakati wala si wanasheria waliobobea kwenye mambo ya sheria za TZ.
 
Congratulations, you're the first person to have made it to my ignore list......
 
Haya ndiyo madhara ya darasa la Saba kuwaacha tu washauri vitu vya kisomi

Unataka TLS iwe Kama chama cha SIASA mkuu

Haya wewe professional yako uliyosomea ni ipi na imeleta impact gani hapa nchini

Acha kuingilia taasisi za watu ambazo zina miongozo yake

Haya tueleze CHAMA CHENU CHA WANASAYANSIKIMU mmeisaidia nini nchi hii?
 
Kufanya uchaguzi kila mwaka ni kupoteza muda na hamasa ya uchaguzi wenyewe.Fanyeni kila baada ya miaka 3
Uchaguzi wenyewe nasikia huwa na Rushwa nyingi, Mfano sasa Hosea katumia mabilioni kununua huo Urais wa TLS usio na Tija yeyote
 
Kelele nyingi tu ila no impact kwa jamii
 
Haaahaaaa imeisha hiyooo!!
 
Kwa Tanzania darasa la saba huwa na uelewa kuliko kiumbe anayejiita Msomi kwani wanaojiita wasomi 80%si wasomi Halisia ni wasomi feki, wengine wamesoma kiujanja janja kuiba mitihani, kununua majawabu, kununua vyeti, hawana Taaluma halisi vichwani, huendesha kazi zao kiujanja janja ndiyo maana kuna uhaba wa mawakili mahili wa wakweli baada ya kusalia wachache sana Tanzania, Kuchagua mtu awaongoze miezi 12 kwa kutumia gharama kubwa kusafiri kwenda Arusha ni matumizi mabaya ya pesa na kukosa maarifa, Kwanza TLS yafaa ipewe heshima na Bunge na uchaguzi wake ufanyike kila baada ya miaka 5 na Rais wa TLS apewe hadhi ya Balozi na ubunge kama alivyokuwa mwenyekiti wa UWT, uchaguzi wa mwaka mwaka ni sawa na uchaguzi kiranja chuoni mashuleni
 
Uraisi wa TLS unaweza kuwa na maana kwa sasa baada ya yule mnyonga sheria na demokrasia kutokomea!

Mkuu marehemu bado anakusumbua. Sheria gani aliinyonga. Maandamano. Wewe Mwananchi wa kawaida. Sheria gani ya nchi ilivunjwa ambayo ilikufanya usile na usiny... mnabeba ajenda za kipumbavu sana. Lini aliwagusa hao. TLS hukuisema ilipotekwa na uharakati wa kijinga kabisa. Ukiona kila mada unatafuta sababu ya kumtaja JPM ujue alifanya mazuri kwa watu. Mtu mwenye mabaya kwa watu wa kawaida hutahitaji kuyataja wala kuwakumbusha wengine kila wakati. Those actions will in either way speak for themselves. It’s good for your Health. Live your life.
 
Rais wa TLS hana level moja na hata TFF tu
 
Anafikiri TLS ni Umoja wa Madereva wa Daladala. Sisi wenye profession hiyo ndio wafaidika wa hicho chama yeye atafute umoja wa machangudoa awapelekee malalamiko yake.
 
Povu la nini?
Take Easy!!!🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…