Urais wa TLS hauna impact ya maana!

Hicho ni chama Cha kufa na kuzikana
Ukiangalia ushauri walioutoa baada ya kifo Cha Magufuli,kwamba eti serikali mzima inapaswa kujiuzulu,halafu wakakaa kimya bila hata kutetea hoja yao,inatoa picha kwamba hilo ni genge tu halina impact yoyote
TLS haina tofauti na club ya Saigon kariakoo
 
Mfano halisi kabisa sitarajii ataendelea kuuliza pumba zake
Wewe naye ni mwanasheria ki.laza mfuata upepo tu! Amesema Chama ( TLS) kimeanzishwa kusaidia taaluma, serikali, jamii n.k, sasa jamii inapoomba impact ya uwepo wa TLS unashindwa kuelewa nini?
 
Wewe ni mwanasheria? Unaelewa maana ya professional body?
 
Msomi hujaweka tu kilatini au wewe ni junia- mwambie sinia aongeze hapo ataelewa huyo layman hahahahaahh
 
Wewe ni mwanasheria? Unaelewa maana ya professional body?
Niwe najua au la lakini sisi wananchi wa kawaida hatuoni impact yenu yaani muwepo na msiwepo hatuoni madhara, Proffesional mngetulisha matango pori kuwa rais akifa na baraza la mawaziri linakoma, mmepigwa maswali mkaa kaa kimya, hamna kitu, uvunjifu wa haki za kibinadamu, haki za kisheria kwenye vyombo vya kutoa haki umekuwa mkubwa kuliko wakati wowote mmekaa kimya wakati huu ndiyo ulikuwa kipindi kizuri kwenu kuonyesha uhai kuwa mpo.

zaidi ya hii week mnakula bata na totozi Arusha kama jana mlifanya fujoo sana.

Badilisheni muundo, hivi lili jengo mlitaka kujenga mmelikamilisha?
 

Nyie na MAT hamna tofauti yoyote hamna impact yoyote niwambie tu ukweli umjitathimini.

Ni vikundi kama vikundi vingine kama CWT, Bora hata chama cha wamiliki Mabasi tunaona impact yao.
 
Subiri siku uzingiziwe kesi ya kumpa mwanafunzi mimba ndio utaanza kuwaheshimu wanasheria
 
Ati, layman anampa mwanasheria ushauri wa kisheria,
Bwahahaha, maajabu hayaishi Tanzania.....
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Ulichoandika ni ujinga na ndio ujinga anauongelea mleta mada.

HKL mnaamini mna akili kuliko tusiokuwa HKL?
 
Huo utopolo ndio unaozungumzwa hapa, the way mnajigamba ni kama nyie ndio mliosoma peke yenu na hakuna cha kuwashauri, kwa mfano mkichagua rais wa 3 years itasaidia kusave cost na usumbufu.

Halaf tutajie faidi hata tatu za TLS kwenye kusaidia nchi sio unabwabwaja tu hapa Profession Profession nani hana Profession?
Kuna wakati mtambue mnaonekana kama kikundi flani cha wapiga soga wameungana kuchangishana na kuchagua watu wa kuwalipa hela za michango yenu tu
 
Subiri siku uzingiziwe kesi ya kumpa mwanafunzi mimba ndio utaanza kuwageshimu wanasheria
Inazungumziwa TLS hapa, nawewe subiri uende ofisi ya watu wa taaluma nyingine ndo utajua uanasheria ni taalum isiyojitosheleza ndio maana tunategemeana
 
Anafikiri TLS ni Umoja wa Madereva wa Daladala. Sisi wenye profession hiyo ndio wafaidika wa hicho chama yeye atafute umoja wa machangudoa awapelekee malalamiko yake.
Punguza povu HKL wewe
 
Ni kweli kuna haja ya kuongeza muda wa Rais wa TLS, mwaka mmoja hautoshi
 
Ni kweli kuna haja ya kuongeza muda wa Rais wa TLS, mwaka mmoja hautoshi
Wenyewe wanakuja hapa wanatoa povu sio la nchi hii.
Wanabeza ushauri wa wananzengo kisa wao walisoma HKL wakaibukia kwenye sheria basi tulosoma kuchonga vinyago tunaonekana hatuna cha kuwashauri[emoji1787][emoji1787]
 
Hizi professional bodies za Tanzania ni upuuzi mtupu. Wameshindwa kuwasaidia wanachama kwa kupigania haki zao za msingi na mazingira mazuri ya utendaji kazi. Uwakili umekua mzigo, town young lawyers wanasugua gaga mpaka juzi Kati ilibidi jamaangu mhitim wa Law school arudi Kilosa kulima Mahindi. Sometimes TLS wanajitahidi, kuna Professional bodies zingine Kama MAT ndo hazieleweki kabisa. Imagine professional Dr unaogopa kutaja COVID-19 na unashabikia majina ya wanasiasa eti changamoto za upumuaji. Ovyo kabisa
 
Sasa mkuu mbona hauelewi msingi mzima wa TLS ni ya wanasheria na mawakili kwa ajili ya taaluma yao ya sheria wewe unataka uone impact gani? Ni sawa sawa na baraza la madaktari linapokaa kuzungumzia maswala yao ya kitabibu...hii haiwahusu laymen ni learned brothers & sisters tuuu..mambo ya uvunjifu wa haki, mahakama etc hayo ni mambo ya kisiasa sio ya kitaaluma...
 
NI WIVU WA KIKE TU, HAKUNA JINGINE JIPYA.
 
Ati, layman anampa mwanasheria ushauri wa kisheria,
Bwahahaha, maajabu hayaishi Tanzania.....
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Hutofautiani na mwenye degree nne wewe.
Imeandikwa ,, hata kinywa cha mpumbavu wakati meingine hunena hekima"
 

TLS aka wazee wa uchaguzi.
Baada ya uchaguzi huu huta wasikia tena mpaka mwakani, kwenye uchaguzi tena.
 
Nyie na MAT hamna tofauti yoyote hamna impact yoyote niwambie tu ukweli umjitathimini.

Ni vikundi kama vikundi vingine kama CWT, Bora hata chama cha wamiliki Mabasi tunaona impact yao.
Wewe binafsi umeifanyia Tanzania jambo gani la maana ambalo tunaona impact yake ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…