Zanzibar 2020 Urais Zanzibar: Kwanini nampa nafasi Mhandisi Hamad Yusuf Masauni

Umesema ni mhandisi wa majengo.Isijekuwa uhandisi wake ni wa kununua vyeti.Kwani mhandisi wa majengo hawezi kusema kuwa kuna watu wanakaa mapangoni kule Amboni Tanga...
Huyu ndiye Rais ajaye Zanzibar na kisiwa hicho kitashuhudia maendeleo makubwa sana
 
Masauni baba yake aishawai kuwa kiongozi mkubwa tu wa tume ya uchaguzi, nadhani unaushabiki zaidi ndio maana uchambuzi wako hauna viable research
 
Huyo Masauni aliyedanganyaga umri wakati akiwa uvccm iliyopelekea makamu wake Beno malisa kumalizia kipindi sio credible hata kidogo
 
Ongezea kwamba ana kashfa ya kudanganya mwaka wa kuzaliwa alipo kuwa UVCCM. Hatutaki waongo
 
Huyo unayemtaja ni bwabwa,kuna nchi itamchagua bwabwa kuwa rais?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…