Mwana wa Mungu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2008
- 1,003
- 85
Shimbo yuko wapi???Kuna habari Zimenifikia hivi punde kutoka urambo tabora kuwa jeshi la wanyama pori
Urambo, Tabora limechoma nyumba za kijiji kimoja na kuua watu 25 kwa kuwasingizia
kua ni Majambazi.
Watu hao ambao inasemekana ni wafuasi wa CUF na wapinzani wakubwa wa CCM
Walizushiwa kuwa wamevamia Eneo la wanyama pori na baadae nyumba zao kuchomwa
moto. Baada ya watu kuhoji kuwa watu wale walikuwapo hapo kwa mda mrefu na si wavamizi, Askari wale waliamua kuwaua.
Mwenye kina tunaomba atujuze zaidi.
Kashatekeleza alichoahidi Watanzania Jana. Au unataka tena.Shimbo yuko wapi???