Kama Uranium wachukue ila tuu sisi mikataba itakayowaruhusu kuchukua madini hayo iwe ya kutunufaisha wananchi!
Kwa sis kutumia Uranium tunataka tuuane tuu hapa: What are we going to do with nuclear waste wakati household waste leo hii inatushinda kuishughulikia kikamilifu!!!????
Watanzania poleni! Madini yetu yanaporwa bila aibu! tena siku moja nilimsikia Mkapa akitamba kuwa Tz inafaidika na kukusanya kodi ya PAYE kwa wafanyakazi walioko kwenye madini! Watanzania tuna bahati mbaya ya kuchagua viongozi wasio na fikra! tena wanafanya haraka kuingia kwenye mikataba yenye maslahi kwa viongozi tu, tena wanasema ni siri!
Huyo jambazi aliyeuza NBC kwa bei ya peremende. Siku zake zinahesabika.