Urasimishaji biashara unaweza kuzalisha ajira 3,000,000 kwa miaka 2

ubongokid

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
2,154
Reaction score
4,184
Iapo serikali itawawezesha wananchi kurasimisha shughuli mbalimbali za kibiashara na kiuchumi na kuwa wezesha wajasiriamali kupata huduma za kitaalamu,mitaji pamoja na fursa za masoko ya nje na ndani ya nchi,Tanzania inaweza kuzalishia ajira mpya zaidi ya milioni 3 ndani ya miaka miwili

Hili ni swali la kitafiti linalohitaji kufanyiwa utafiti wa kina na mjadala mpana

Karibui wajuvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…