Urasimu wa basata na tuzo za muziki

Urasimu wa basata na tuzo za muziki

theHAVARD_product

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
289
Reaction score
192
Nasikiliza Radio DIAMOND,anaongea kuhusu kushindwa kuwekwa katika Categories zingine amabazo yeye alidhani anastahili kuwekwa,Mfano VIDEO BORA YA MWAKA. so anadhani kama hakuwekwa huko bora wasingemuweka katika categories zingine.
Ni kweli BASATA wamekuwa wakilalamikiwa kuhusu Urasimu wa tuzo hizi,Yaani TBL kupitia Kilimanjaro wanataka wao tu ndo wahodhi tuzo za muziki nchini!!!
Kwanini??This must be watched.
 
Back
Top Bottom