Salaam wakuu
Juzi nlienda clinic lkn ni tofaut na niendayo siku zote,nest kamikaze kunipima tumbo akaniuliza ulishawH piga ultrasound nikamjibu eeh akaniuliza tena je uliambiwa una pacha? Nkamwambia hapana na pia nkamtolea zile karat aside zangu nlizowah kupiga ultrasound,nikaamuuliza vp kwani umegunduwa nini akanambia mtoto anaonekana ni mrefu kwa kimo,mimba yangu ina umri wa miezi saba
Maswali yangu ni haya
Je urefu wa kimo huwa unakuwaje kwa mtoto aliye tumboni?
Je kuna uwez3kano kuwa mtoto ni mkubwa?
Wassalam