Urefu wa Mama Mjamzito

Urefu wa Mama Mjamzito

Sijui wakunga wa jadi waliyajuaje haya kaba ya ujio wa wazungu maana walifanya ukunga kikamilifu kabisa
Haaaa Kaka umetisha pamoja na kua na kadi ya klinik, mi nimezaliwa Nyumbani.
Baada ya kuzaliwa mama Yangu alinikata kitovu, Alikua peke yake. Anakisafisha na kuniweka pembeni arafu anafanya utaratibu wa kunipeleka hospital Mwananyamala.
 
Leo nimesoma kadi ya kliniki. Ambayo mama yangu, alitumia kipindi Mimi sijazaliwa kuna sehemu imeandikwa Urefu wa mama yangu.

Naomba kufahamishwa Urefu wa mama mjamzito unafaida au athari gani kwa mama mjamzito na Mtoto aliyeko tumboni
Wanatafuta body mass index (BMI) ((weight/height square)) kwa ajili ya kuangalia uzito wa mama mjamzito kama ni overweight ,underweight ,obesity nk.
 
Huwa ni Urefu na uzito, hutumika kufahamu BMI ya mhusika.
  • Ni hitaji muhimu katika kufuatilia afya ya mama na mtoto,
Wanatafuta body mass index (BMI) ((weight/height square)) kwa ajili ya kuangalia uzito wa mama mjamzito kama ni overweight ,underweight ,obesity nk.

Wengi wamejibu Vizuri na wamepatia Kabisa But Honestly Kwanini Unafikiri Kimewekwa Kiwango kabisa?

Kwanini Wamesema Indication iwe 150 Cm ?
Yaani alert iwe kwenye Bellow 150cm?

Ukisoma Kadi utaona imeandikwa 150 and above na Bellow 150 Cm...

Does Bellow 150Cm affects BMI Status?
so do above 150Cm??

Jibu ni Hapana kuna Kitu kingine cha Ziada zaidi ya BMI..

Nacho ni Pelvic Sizes..

Urefu wa Mwanamke chini ya 150cm Unachangia kwa Asilimia kubwa sana mwanamke kuwa na Small pelvic size because shorter stature is often correlated with smaller skeletal dimensions..

Sijui kama hapo Nimeeleweka..?

Pelvic Size ikiwa Ndogo Kunatokea Kitu Kinaitwa CPD (Cephalo Pelvic Disproportional)..

Yaani Kwa lugha inayoeleweka ni kuwa Mtoto anakuwa Mkubwa kuliko Njia ya Uzazi ama Nyonga.. hiyo CPD ni tofauti kabisa na Big Baby (Macrosomia)..

Sasa kwanini Inawekwa kwenye Kadi??

Inawekwa kwenye Kadi kumpa Alert Mtoa huduma atakaye muhudumia Mjamzito kuwa Awe alert Na mgonjwa huyo (Kama ana below 150) kumuandaa kwa ajili ha Operation (C/S) na Kuwa na Possible ya CPD Dx..

So ili kuweza kutoa Maamuzi mapema kuepusha maternal Death..

Asante Nafikiri Nimeeleweka
 
Wengi wamejibu Vizuri na wamepatia Kabisa But Honestly Kwanini Unafikiri Kimewekwa Kiwango kabisa?

Kwanini Wamesema Indication iwe 150 Cm ?
Yaani alert iwe kwenye Bellow 150cm?
Does Bellow 150Cm affects BMI Status?

Jibu ni Hapana kuna Kitu kingine cha Ziada zaidi ya BMI..

Nacho ni Pelvic Sizes..

Urefu wa Mwanamke chini ya 150cm Unachangia kwa Asilimia kubwa sana mwanamke kuwa na Small pelvic size because shorter stature is often correlated with smaller skeletal dimensions..

Sijui kama hapo Nimeeleweka..?

Pelvic Size ikiwa Ndogo Kunatokea Kitu Kinaitwa CPD (Cephalo Pelvic Disproportional)..

Yaani Kwa lugha inayoeleweka ni kuwa Mtoto anakuwa Mkubwa kuliko Njia ya Uzazi ama Nyonga.. hiyo CPD ni tofauti kabisa na Big Baby (Macrosomia)..

Sasa kwanini Inawekwa kwenye Kadi??

Inawekwa kwenye Kadi kumpa Alert Mtoa huduma atakaye muhudumia Mjamzito kuwa Awe alert Na mgonjwa huyo (Kama ana below 150) kumuandaa kwa ajili ha Operation na Possible CPD Dx..

So ili kuweza kutoa Maamuzi mapema kuepusha maternal Death..

Asante Nafikiri Nimeeleweka
Hii imekaa kitaalamu zaid, tunashukuru kutupa elimu
 
Jibu ni Hapana kuna Kitu kingine cha Ziada zaidi ya BMI..

Nacho ni Pelvic Sizes..

Urefu wa Mwanamke chini ya 150cm Unachangia kwa Asilimia kubwa sana mwanamke kuwa na Small pelvic size because shorter stature is often correlated with smaller skeletal dimensions..
Ahsante kwa ufafanuzi wa kina.
 
Leo nimesoma kadi ya kliniki. Ambayo mama yangu, alitumia kipindi Mimi sijazaliwa kuna sehemu imeandikwa Urefu wa mama yangu.

Naomba kufahamishwa Urefu wa mama mjamzito unafaida au athari gani kwa mama mjamzito na Mtoto aliyeko tumboni
Hapo watu wa afya wanataka kujua kama kweli mtoto atakayezaliwa ataweza kula urefu wa kamba yake kwenye dunia hii yenye changamoto nyingi au la.
 
Leo nimesoma kadi ya kliniki. Ambayo mama yangu, alitumia kipindi Mimi sijazaliwa kuna sehemu imeandikwa Urefu wa mama yangu.

Naomba kufahamishwa Urefu wa mama mjamzito unafaida au athari gani kwa mama mjamzito na Mtoto aliyeko tumboni
Ni kwa ajili ya kukadilia Njia ya mama wakati wa kujifungua
 
Back
Top Bottom