Urejeshaji wa Mikopo ya kibenki

Northpal

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
329
Reaction score
295
Je kwa mtumishi wa silikali mwenye mkopo bank akiamua kuacha kazi, Je ulipaji wa mkopo utakuwa ni kila mwez kama alivyokuwa akikatwa mshaara kila mwezi, au inakuwaje?
 
Je kwa mtumishi wa silikali mwenye mkopo bank akiamua kuacha kazi, Je ulipaji wa mkopo utakuwa ni kila mwez kama alivyokuwa akikatwa mshaara kila mwezi, au inakuwaje?

Mikopo huwa ina bima, hivyo ukiacha kazi au kufariki mkopo wako wanashughulika nao watu wa bima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…