UREMBO: Hii ndio steaming asilia kwa ubora wa nywele zako

stable woman

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
3,884
Reaction score
4,479
Habarini??

Natumaini mu wazima, Leo ngoja tujadili kidogo steaming asilia ambayo unaitengeneza mwenyewe na kuboresha afya na muonekano Wa nywele zako

Mahitaji;-
parachichi
yai la kuku Wa kienyeji
Asali

hatua;- chukua parachichi lako likate toa ile nyama ya ndani weka kwenye chombo ili utengeneze mchanganyiko wako

ii/;- chukua yai lako pasua chukua kiini tu cha yai lako changanya na parachichi

iii/;-chukua asali yako pima vijiko viwili au vitatu vikubwa changanya kwenye ule mchanganyiko koroga Hadi vyote vichanganyike vizuri

Baada ya hapo osha nywele zako pakaa huo mchanganyiko na ukae kwenye steamer mda kadhaa
na baadae uzioshe hapo utakuwa umeboresha nywele zako kiasili zaidi ni hayo tu!!!

Asanteni
 
Tupia na kapicha basi..
 
Yai la kuku wa kienyeji au kuku wa kizungu? na expaya date yake ni siku ngapi kutoka siku ya matengenezo?
 
tatizo la huo mchanganyiko huja spesifai je nywele lain, ama ngumu,na pia muda wa kuiweka je ni mchanganyiko wa once
 
Yani hiyo steaming inajaza sana nywele..ila mwenzenu kale kaharufu kananifanya ntapke kwel,je nifanyaje?
 
Mmmh Mama hapo itabidi ujaribu kutwangia kitunguu swaum kwa mbali sema nacho kinanata mno, jirahid uvumilie wangu urembo gharama
 
tatizo la huo mchanganyiko huja spesifai je nywele lain, ama ngumu,na pia muda wa kuiweka je ni mchanganyiko wa once

Hapo nywele yoyote inakubali jaribu uniletee majibu, Tena ningeshauri uweke wiki1 baada ya kuweka Dawa nywele zako kabla hazijaanza kuotea na uwe unatumia mara kwa mara
 
Habarini??

Natumaini mu wazima, Leo ngoja tujadili kidogo steaming asilia ambayo unaitengeneza mwenyewe na kuboresha afya na muonekano Wa nywele zako

Mahitaji;-
parachichi
yai la kuku Wa kienyeji
Asali

hatua;- chukua parachichi lako likate toa ile nyama ya ndani weka kwenye chombo ili utengeneze mchanganyiko wako

ii/;- chukua yai lako pasua chukua kiini tu cha yai lako changanya na parachichi

iii/;-chukua asali yako pima vijiko viwili au vitatu vikubwa changanya kwenye ule mchanganyiko koroga Hadi vyote vichanganyike vizuri

Baada ya hapo osha nywele zako pakaa huo mchanganyiko na ukae kwenye steamer mda kadhaa
na baadae uzioshe hapo utakuwa umeboresha nywele zako kiasili zaidi ni hayo tu!!!

Asanteni
Wanawake mna shida jamani,hiyo yote ni kutafuta urembo au?mngejua jinsi wanaume wanavyopenda kitu natural....
 
Kwani kufanyia nywele steaming ndio kuondoa hiyo natural? Au natural unayosemea wewe ni ya kipara?
 
Back
Top Bottom