Urembo: Karibuni kwenye ukumbi wa kujikwatua muwaone walimbwende!

Ukikutana na hawa kina dada before Make -Up unaweza kukimbia usionekane!

ewaaaaa, make ups mimi nazifananishaga na puti kwenye magari.
Gari likipigwa puti na kupitishiwa rangi utalipenda
ngoja lipate mikiki kidogo,mbona utalikimbia.
 
vipi ukitaka kupaka viungo vyote.ili vinyare


Huu udongo licha ya kutumika kama tiba asilia ya kurudisha hali ya asili ya ngozi, pia hutumika kutibu, chunusi, mapele, ukiunguwa na moto, ukiunguwa na makemikali ya kujichubua. Pia hutumika kuzuwia kunuka jasho (kikwapa).

Unaweza kuutumia mwili mzima na hata kwenye nywele kwa wale wenye nywele zilizokatika, zisizo na afya (nyepesi) na hata wenye kipara (hii ni kwa matumizi ya muda mrefu) nywele hurudi.

Kwa maelezo zaidi: Aunt Zainab's Natural Super Clay
 
Warembo na Walimbwende, sasa hakuna haja ya kuhofu kuhusu nywele zako kuharibika, kukatika au kuota kipara. Na pia hauna haja ya kutumia dawa zenye kemikali kali kurekebisha nywele zako.

Aunt Zainab's Natural Super Clay, sasa imeonesha matumaini makubwa kwa wale wenye vipara na wale wenye matatizo ya kung'oka nywele, nywele zisizo na afya, nywele zinazokatika katika, nywele zinazong'oka kwa kutumia madawa ya nywele yenye kemikali kali, nywele zinazong'ka kwa kuvaa sana mawigi, nywele zinazong'oka baada ya kusukia nywele za bandia kwa muda mrefu.

Nimemjaribu mwanangu mwenyewe ambae alikuwa na kipara kinachokuja kwa kasi, na haya ni matokeo baada ya kutumia Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa wiki nne tu, jionee mwenyewe:


https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/887152-unatokwa-na-nywele-una-kipara-jionee-maajabu-ya.html
 

Andika kwa lugha ya taifa hapa cyo Marekan ni Tanzania
 
Yaani ukikutana na hiyo style ya night shadow kama ni gari huwa unaiacha na kukimbia kwa miguu!!
 

Attachments

  • 1440077254518.jpg
    25.5 KB · Views: 828
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…