Urembo ulionishinda mimi.....

Hii ni kweli! Nimekuwa nikijiuluza hii kitu kwa wanyakyusa, sauti kama wanatukana halafu nzito balaa, kiongozi wao Bahati Bukuku
hahhaha huyu yeye amechika kwa bwana kisa sauti! hajui kubembeleaza au kuongea kawaida! yaan ukwel nachekaga sana sabab za yy kuachana!ukikaa nae hata hotel akiwa anaagiza msos utahis km anachamba kumbe ndo ongea yake hahahaahahah
😀😀😀
 
Atuchekan lol mim hvyo pia siwez zaman nlikua cwez pia lipstic bt skuiz cwez kutoka bla kuipata nataka nijifunze wanja najua ntaweza pia

Post sent using JamiiForums mobile app
 


ahhahaha hata mm mabangili hunivishi!tuwaachie waganga wa kienyeji!mie high waist navaa tena napenda! napenda niivalie na high heels leggings nimeacha mwaka huu,hata mm heren kubwa sipend kwakel!
 
Napenda....

Eeh huyu anafaa huyu.Jock!

Mi natumia mafuta ya olive yana manukato mazuri.mi nna ndevu nyingi so huwa sometimes zilikuwa zinaniwasha kipindi naziosha na shampoo ila Dr mmoja rafiki yangu akaniambia aisee kuna mafuta fulani nimeyaona juzi nikajaribu naona ni mazuri hayana shida.so mi nikanunua naona sasa ndevu hazikatiki wala kuashwa tena kwa ngozi.
So try it.
 
Mafuta ya olive?
 
Mafuta ya olive?

Ndiyo ila siyo haya sijui ya upako...ni jina lake yanaitwa hivyo...we nenda duka la cosmetics waulize mafuta ya nywele ya olive ya kopo la kijani kikavu au unaweza ita rangi ya forest.
Yana hali fulani ya kunata kny mikono kama glycerin.hayana rangi.
 

Yote hayo siyawezi [emoji23]
 
Wanja mweusi ni kwikwi..brown ndo Wanja bwn...huu wanja na lipstick napaka on the daily

Urembo nisioweza
Kubandika kucha sijui kope,kupaka rangi mkononi mnapikaje jmn na rangi mie hazipiti cku mbl lazma nipike ama kuosha dishes,miguuni tu ndo napaka rangi

Kusuka style zinazoumiza kichwa,kucost hela na kukaa mda mrefu saluni siwezi jmn...I do easy styles only kama crotchet, extensions hivi ama simply nastyle zangu with bun na vibanio nk

Kupaka powder daily siwezi, brush set powder na foundation zmebak siku za shughuli tu, Napenda kutunza ngozi tu iwe perfect bila makeup

Mkorogo naona is wastage of time, regardless ur complexion tunza ngozi yako epuka jua ngozi ikiwa rangi moja af soft utapendeza tu

Urembo wa kuvaa heels nao unanichosha,nmekua mvaaji wa siku za matukio tu.. I js dress chic with flats mostly naona niko comfortable sn mana siko kundi la wafupi pia
 
Mimi kupaka make up. Naweza kununua vifaa lakini kuvipaka mtihani. Nikioga napaka lotion, powder na lip balm naridhika. Nikizidisha labda nipake mascara baasi. Zile layer za make up kwangu hazibebeki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leggings znakushiindaje dia..ni super comfortable.. sipendi jeans sikuhz naona nzitoo..leggings ndo kla kitu, sema ndo uvae top ndefu hv below wezere
 
Leggings znakushiindaje dia..ni super comfortable.. sipendi jeans sikuhz naona nzitoo..leggings ndo kla kitu, sema ndo uvae top ndefu hv below wezere

teh teh!mie kila nikivaa naona kila mtu ananiangalia!nimeziacha rasm mwaka jana!navaaga jion tu kwenye zoez!labda zile nzito!ila napo ntentemete arghh!
 
Imekuaje Mrs air kawa kidume??????


ah kuna mambo yanakera! huyo dogo alikua ananikra sana pm! na mapicha picha yak na mi sioni option ya block! bas nikaamua kubadili jina kwa privacy zaidi nilipotoa nikaweka' male ' nilikua na maana 2! za maana tu!kuna mtu alinitambua na mm nikawa nakaza sio mm,2 huyu dogo ndo nilimwambia mie ni 'me' si ndio kukimbia kuanzisha thead mle!kananikera sana !niliochat nap pm wala hawana shida na jinsia yangu! they knw m!kwakweli sipend mtu anakuibukia pm na mapicha ya porno1anadhan wot tunapnda mapicha ya hvyo!mxiew zake!

mie 'she' na labor nimehudhuria!
 
Nlikua nimeshtuka mpnz
Poa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…