Urembo ulionishinda mimi.....

dada nina shida na wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
urembo ulionishinda ni kuvaa uchi au nusu uchi kwenye public, kutinda nyusi na kuchora mijiwanja, kubanika makucha maana sijui walibandika wanajitawazaje, kupaka lipstic iliyokolea mpaka unashindwa kumhag mtu, kuvaa kiatu kirefu zaidi ya nchi tano unakua kama ngongoti, kuvaa nguo za kubana mpaka maumbile ya mwili kuonekana kwenye public, kuongeza kope za bandia na kuvaa miwigi kwa kweli vimenishinda.
 

Napenda mwanamke wa hivi

Ndio maana yule mchagga huwa namwambia awe ananyoa panki kama zamani.
 
Jaman kujiremba nimeshindwa kabisa, yaani nikipaka mafuta yangu uson,
Nimejiremba sana nina lipbalm mdomoni huyo napepea,
Najitahid hizo make up siwez sasa sijui ushamba
 
Hahha yani hayo yoooote ni kama umenipoint mimi,kope,kucha za bandia,wigi,wanja,mkorogo uwiiiiii emu nibaki na weusi wang[emoji23]
 
Urembo wa kuvaa skirt na magauni naelekea kuuzika kaburini

Mawigi,kucha kope siwezi kuacha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…