Urembo wa KUCHA

Urembo wa KUCHA

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,378
Reaction score
3,383



Bubble-Nails.jpg
 
Kha! Mke wangu alivyouguza kucha! Nikisikia hii habari ya urembo wa kucha naogopa
 
Huyo wa juu ndo kapendeza.
Ila hao wa chini bora wasingeweka hayo madude yao.
 
Najiuliza mengi wale wenye makucha marefu wanafanyaje usafi? Na kupika wanawalisha wenzao uchafu tu

Bora wewe me nikiona dada mzuri, mrembo ila ana makucha marefu namuona mchafu tu, anafanyaje usafi wake binafsi, chakula inakuwaje....
 
Mungu wangu hivyo vidole vinakuwa na weusi juu unaonikera kweli...
 
Hebu tuelimishe hawa wenye kucha huwa wanajitawazaje?sidhani kwa mwanamke kama huyu mnaweza kupata maendeleo.akili zao wengi Ni kuspend tu....hawataki kusikia sauti isemayo Leo hakuna hela.
Cc😡mr rocky farkhina Valentina mshana jr
 
Last edited by a moderator:
Mh!hao watakua wanakaa tu maana hiyo mikucha utafanyaje kazi za ndani. Sidhani kama wakijisaidia huwa wanajiswafi kwa maji kwa staili ya hizo kicha
 
hii mikucha kama jini..hapo usafi wa mwili unafanyikaje kwa mfano...fashion nipitee
 
Back
Top Bottom