Urembo wa kutoboa viungo vya mwili (body piercings)

Zurie

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2014
Posts
2,012
Reaction score
5,571
Kutoboa sehemu mbalimbali za mwili ni moja ya harakati za kuongeza mvuto kwenye mwili wa binadamu.

Sehemu mbalimbali hutobolewa na kupambwa kwa vito au mapambo ya shanga ili kuongeza mvuto.

Sehemu mbalimbali zinazotobolewaga huwa ni:

Masikio


Midomo


Ulimi



Pua


Kitovu


Na sehemu nyingine mbalimbali....

Je umewahi kutoboa sehemu ipi ya mwili au unatamani kutoboa sehemu ipi ya mwili wako ili kuongeza mvuto??
 
Mmmm zaidi ya masikio sitoboi pengine
 
Mungu angetaka angewatoboa ila akaona si vizuri
 
Tupia picha ya papuchi iliyotobolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…