Urembo wa kwenye macho

Mhhhh! Napenda urembo wa macho lakini huo naona kama editing vile....
 
Mhhhh! Napenda urembo wa macho lakini huo naona kama editing vile....

Hapana bongo tu ndo haijafika, unaweza kufanya Painting sehemu yeyote ya mwili wa Binadamu.
 
"Sihusiki na madem wasiovaa kufuli,madem kila kitu fake madem wa rushwa ya ngono ilimradi wasikose vyeti"nimecopy tu.
 
Mhhhh! Napenda urembo wa macho lakini huo naona kama editing vile....

Kama waliweza kufanya tatoo watashindwaje kuchora kwenye kope za macho?
 
Teh! Teh! Huu urembo balaa ila nimwpenda ila kwa mtu mwenye ngozi nyeusi hii itampendeza kweli? Au ni special kwa ngozi nyeupe tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…