Urembo wa mapazia unavyopendezesha nyumba

Urembo wa mapazia unavyopendezesha nyumba

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Tunapozungumzia mitindo na utanashati, tunalenga mtu binafsi pamoja na mazingira yanayomzunguka, kuanzia mavazi yake, mwonekano, miondoko, mazingira ya nyumba au makazi, yanayopaswa kuwa katika hali inayoridhisha wakati wote.

Ingawa siyo lazima, lakini ni muhimu mwonekano wa nje wa mtu binafsi kwenda sanjari na mazingira unayoishi bila kusahau nyumba na mpangilio wake kwa jumla.

Katika mitindo leo tumegeukia mwonekano wa ndani ya nyumba hasa pazia pamoja na kufunika madirisha na milango pia pazia hutumika pia kama moja ya mapambo mazuri ya nyumba.

Ili mapazia yawe na mwonekano mzuri ndani ya nyumba ni vyema yakatundikwa kwenye mabomba hayo, ambayo yametengenezwa maalumu kwa ajili ya kazi hiyo.

1.jpg
2.jpg
3.jpg


4.jpg

5.jpg


6.jpg
 
Kuna watu watasema hata hii ni kwa matajiri.....Nimependa moja hapo naiba design!
 
Mazuri mno aisee..kwa wajanja watown nawashauri watembelee Orca Decco yaani wana mapazia ya ukweli alafu unique mno...alafu sio ei kubwa kivile.
Siyo kweli, oca decco wana mapazia mengi ila siyo mazuri kiivo. Yote waliyonayo mengi ni too common and not of high quality. Mwezi wa 4 nilienda kununua mapazia hapo niliishia kupoteza muda wangu na mwisho nilifanikiwa kupata design na quality nzuri mjini kati.
 
What a clever way to run an advertisement through MMU. Bravoos
 
Back
Top Bottom