Urembo wa mapazia unavyopendezesha nyumba

Kwani mtoa post kaweka tangazo na kutokomea kusikojulikana au? Mbona wadau tunaulizia bei lkn hatokei kutoa majibu?
 
Are u sure? mie nilienda last month nikakuta mapazia mapya na mengi yalikua bold colours hata k.koo sijawahi kuyaona! sasa sijaelewa hiyo common yako unamaanisha nini au ndo tuseme unapenda marangi ya pink,red,yellow et al maana kula ni nadra sana kuyaona.
 
So beautiful, safi sana
 
Kwahio kifupi ni kwamba dirisha moja 80,000 au 100,000/-
Ndio lakini ukipata umepata haswaa!maana ni mazuri na sio common kivile, tena ni vizuri ukibahatisha mzigo ukiwa mpya.
 
Selling by sample: Unajua hizi mambo hatupendei wala kuzichagua kwa kutest radha, bali muonekano kwa maana ya rangi zake na vinginevyo. Je, mtu akiagiza atapata kulingana na sample iliyoainishwa? Kabla ya kuagiza tuanze kujiweka katika mazingira ya kufanya biashara salama na ya amani.
 
Hahahaaa
Hahaa si unajua tena mwanamke mzuri hatongozwi! Kwa kuhofiwa kuwa ana mtu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…