kasimba123
JF-Expert Member
- Apr 18, 2010
- 1,753
- 816
mwanamke wig bwanaaa....
tena siku hizi kuna hizo wanaita lace wigs,shurti unatoka kama beyonce banaa!
mnh usuke mabutu utoke kama mrs lawino,inahusuuuuu
acheni kuwa conservatives!
FL1
kama nimemwelewa boss, yeye anapenda nywele asilia na si za kuungaunga [ziwe na relaxer, curl au hata fupi]... i like the same, yaani mimi criteria ya kwanza ya kukimbia bibi ni nywele za kuunga au kushonea
- kwanza ukishika kichwa kinakua kama kina manundu nundu
- pili most of them zinakua tofauti sana na original kiasi kwamba ukiangalia nyuma ya kichwa unakutana na kipilipili against indian hair za mbele [tetracycline!]
- tatu wanawake wengi sana huonekana more cute wakinyoa nywele zao ila hawajui tu
big up to all women with their natural hair and no sugar added!!!
lkn cjawahi kuona mzungu akiweka nywele za mwafrica hehe yale yale Miafrika Ndivyo Tulivyo
..Teh! tehh!! Game iliendelea au ulimpa wig lake ukafunga kikao? Maana lazima atakuwa na mtazamo tofauti kabisa!!!! Kaaazi kweli kweli...
mimi nikimmega dem huwa napenda kushikilia nywele zake, dem akiwa na bandia utaona ananikataza nisishike, kuna dem mmoja alijisahau...nywele zilitoka zikabaki mikononi kwangu....nilimuona mbaya ajabu
jamani kwani vibaya kwenda vekesheni na shemeji?
B yeye anakukuruka na maboksi huko, mimi nina stress za hotuba ya muhishimiwa jana, acha tu niende na shem ikwiriri nikaangalie mamba huko
shemeji shemeji......huku taa zinazimwa......
Mtazima mishumaa.......vibatari..............
ha ha ha haaa
the worst thing about hizi ndoa za online...ni kuwa
mkeo anatongozwa live huku unaona na huwezi zuia....
ha ha haa a bit painfull but interesting for viewers.......
ha ha haaa
mimi nikiwemo huwa napenda kuona mwanamke akitoka na nywele zake fupi na kazisuka mitindo ya enzi na enzi kama hivi....