Urgent: Anahitajika Supplier wa matunda ulaya

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
8,328
Reaction score
7,784
Habari wakuu,
Kwa yeyote mwenye kampuni au anayemjua au mwenye credentials, zinahitajika tani 48 za maembe na mananasi Germany.

Mwenye anaweza plz njoo PM.

Hakuna utapeli, ni genuine
 
Kwa maembe sidhani, kwasababu kuna ishu ya Fruit fly ambaye kimsingi ni Quarantine pest,ndio maana walizuia kitambo sana na kwa miaka mingi maembe yalikuwa hayaendi Ulaya,sasa Sijui wewe conditions zikoje hapo?.
 
Kuna watu wanapeleka Sana hayo maembe
 
Back
Top Bottom