Urgent :anatafutwa secretary cum office administrator

Urgent :anatafutwa secretary cum office administrator

Zamazamani

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2008
Posts
1,869
Reaction score
787
Anatafutwa mtu anayefaa kuwa secretary/office administrator ,kwa uchache awe na sifa zifuatazo;
amemaliza Kidato cha sita, uzoefu si chini ya miaka miwili na awe amesomea kazi husika.
MWISHO WA MAOMBI:27 JULY 2011
Maombi yatumwe kwa info@wishope.co.tz au P. o Box 79455 DSM
Cell: 0715 502757
 
Anatafutwa mtu anayefaa kuwa secretary/office administrator ,kwa uchache awe na sifa zifuatazo;amemaliza Kidato cha sita, uzoefu si chini ya miaka miwili na awe amesomea kazi husika.MWISHO WA MAOMBI:27 JULY 2011Maombi yatumwe kwa info@wishope.co.tz au P. o Box 79455 DSMCell: 0715 502757
akiwa kamalizo kidato cha 4 na ana diploma ya secretarial je atume?
 
Yep anaweza akafikiriwa hasa akiwa na experience nzuri na akaonyesha kuwa anajua anachotakiwa kufanya
 
Back
Top Bottom