Zamazamani
JF-Expert Member
- Jun 13, 2008
- 1,869
- 787
akiwa kamalizo kidato cha 4 na ana diploma ya secretarial je atume?Anatafutwa mtu anayefaa kuwa secretary/office administrator ,kwa uchache awe na sifa zifuatazo;amemaliza Kidato cha sita, uzoefu si chini ya miaka miwili na awe amesomea kazi husika.MWISHO WA MAOMBI:27 JULY 2011Maombi yatumwe kwa info@wishope.co.tz au P. o Box 79455 DSMCell: 0715 502757
Akiwa dume atapewa nafasi ?.
ok nita send cv zake,Yep anaweza akafikiriwa hasa akiwa na experience nzuri na akaonyesha kuwa anajua anachotakiwa kufanya