Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
WanaJF naomba Msaada wenu
Nataka kuzunguka kwenye show room za DAr es salaam kutafuta GX100 au GX110 ambayo iko katika hali nzuri less 90000km year 2000
Ni show room gani wana gari za uakika na imara na bei nafuu??
Sikutaka kuagiza Japan mana itachukua mwezi mzima na gari inaitajika Faster
WAnaJF msaada wenu Please
Kuna jamaa yangu anaagizaga na kuuza. ipo GX110. kali sana Tshs. 13,000,000 mwisho 12,500,000 kama upo tayari ni Pm.
Mkuu tafuta gari mapema, Kutokana na Budget ya mwaka ujao wa fedha kuwa juu, bei za magari zitapanda sana.Ukikosa hiyo nunua gari yoyote nzuri kabla mambo hayaja haribika.
mzee lazima iwe ya showroom au ht kwa indivdual impoterz unchukua? zipo gx 110 tatu. 1 ya 2004 nyingne 2000 na nyngne 2001. hy ya 2004 imetumika jamaa anauza ml 9. hz zingine 2 ni mpyaa zina wiki 1 toka ziingie hata namba bd hazijatoka. full options n full body kits. bei ni 13.5ml. kama upo intrestd napatikana kwny 0713 744 144. regards, dully
Mkuu ww na King of Kings mnajuana nini? Kama sivyo, lazima utakuwa Sheikh Yahya weye.Tafuta fasta maana hata hio road licence yenyewe sasa ni almost 150, je kaka wese la GX 110 utaliweza na mifoleni ya dar kama uko dar? Nakushauri ukune unapo fikia mkulu.:hail: