Mpaka hapo sijaona dawa yoyote ya maana aliyotumia except hizo za kiennyeji(ambazo sina utalamu nazo) hadi useme untreatable dry cough!
Mkuu kinachofanyika hapo ni sawa na kumkuta mtu ameumia anableed kisha unachukua leso unaanza kufuta damu tu badala ya kushona kidonda!Nina maana kwamba cough syrup hata zenye codein zinatuliza irritation tu labda na kumfanya mtu asinzie ili apumzike kukohoa,but they have nothing to do with the cause of cough!
Mkuu ni vema ukajua kuwa sababu ya kukohoa sio asthma pekee,kuna a lot causes ambazo kila moja ina namna yake ya matibabu.Kwani hapo kwenu hujawahi kusikia kuwa mtu akikohoa zaidi ya 2 weeks tunasuspect kifua kikuu ambacho hakitibiwi kwa dawa zote ulizoorodhesha hapo?Sisemi mgonjwa wako ana kifua kikuu,hapana.Ila nataka kukuonesha umuhimu wa kufikiria zaidi ya hapo ulipokuwa umefikia kusema untreatable cough.
Kitalamu ugonjwa wa kisukari ni baba wa hypertension(pressure ya kupanda),na hypertension ni baba wa heart failure(ugonjwa wa moyo).Na dalili kuu ya ugonjwa wa moyo ni kokohozi kisichopona kwa dawa za kawaida za kikohozi!
Binafsi kwa ushauri wangu,mpeleke mgonjwa hospitali(kubwa)afanyiwe vipimo ijulikane anasumbuliwa na nini.Achana na dawa za kununua dukani bila kipimo.Huenda ikwa mgonjwa ana tatizo kubwa halafu tukawa tunapoteza muda huku tatizo likiendelea kukua zaidi.
Samahani kwa kutumia kliswahili mkuu.
Mrimi,
Am grateful for the comment and suggestions.
This lady has been investigated and reviewed by an expert Panel both locally and abroad, no link could be found on the cough. We were just told all will be well in the course of time as she was at that point seen to be allergic.
Am currently praying! Please join in