Tumia internet na ubongo wako vizuri utafanikiwa .
Nchi yetu imefikia hapa ilipo kwa vitu kama hivi. Kama proposol tu unaomba msaada, je project yenyewe.
Wewe andika proposal lete hapa wataalamu watakusaidia kuirekebisha ikidhi viwango.
Elewa nia ya wewe kuandika proposal sio kushinda tenda, nia ni wewe uelimike sasa ukisaidiwa utakuwa umeelimika nini? Na mbaya unataka msaada bila wewe uonyesha jitihada.
Ahalafu unasema tiitle ya proposal kama vile yaani hata mpaka sasa hata title huna uhakika nayo.
Ushauri wangu
- tafuta title ya proposal yako
- Ni kwa nini umechagua tiittle hiyo
- ielewe ni aina gani ya proposal/project yako ( Research, experiment,etc)
- Jua ni nyenzogani utahitaji, utatumia( watu ,vifaa shule, fedha)
- Jua aina gani ya data utatafuta
- Kadiria muda utakaochukua kukamilisha project yako
- Ugumu,contraints unazozani utapata kwenye proj yako
- Elezea ukubwa au scope au mipaka ya poriject yako.
ukijibu hayo maswali ni kama umeandika proposal