Urgent! jamani nahitaji msaada wa project proposal nitafweli chou mazee.

Hivi sasa mtu ukipata misaada ya kudesa humu, halafu ukapate degree, baadaye ukiingia mtaani na wewe utajiita msomi? This is very sad really.
 
Hivi sasa mtu ukipata misaada ya kudesa humu, halafu ukapate degree, baadaye ukiingia mtaani na wewe utajiita msomi? This is very sad really.

Kupata msaada sio vibaya lakini level ya msaada anayotaka ndo inatia shaka. Japo angekuja na draft anasema jamani hii proposal imekaa vipi.

Au japo ange-google akaangalia sample proposals kibao mtandaoni akaichakachua ikidhi mahitaji yake.

Nina hakika hata akimpa mtu hela amfanyie kazi hii, atakachofanya mtu ni kuingia kwenye net na kutafuta proposals mbili tatu ambazo atafanyia mabadiliko kidogo. Sasa yeye kashidwa nini?

Tumia internet kupata majibu sio kuuliza maswali. Kama kuna haja ya kuomba msaada basi uwe umefanya kitu fulani. Au yeye kwake internt ni JF tu?

Kama una hela ni-PM nitakufanyia.

Sharti ni kabla sijaanza unanipa malipo fulll within 2 days nakupa proposal yako.

Teh teh teh
 


Yaani unaomba msaada wa namna hii bila aibu.....loh salale! sijui anasoma MBA ya mzumbe huyu maana ndio zao. Ndugu yangu, mie sina cha kuongeza kwakuwa waliotangulia wameshakuambia ya kutosha, embu sumbua kichwa kidogo ili hata siku ukiipata hiyo degree basi ujivunie. Mbona proposal sio kitu cha ajabu tena kwenye hizo social studies zenu haichukui hata siku mbili kuandika proposal. Think...Think...Think!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…