abdulrahim
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 408
- 286
Habari Wakuu!
Mimi ni mtanzania nina ndg yangu anataka tufungue company nami nilikuwa na biashara yangu binafsi inayotambulika kisheria nikilipa kodi zote stahiki,Sasa nataka kuifunga na kufungua company ambayo nitakuwa na shares na ndg yangu..Vishoka wamekuwa wakiniandama na kila mmoja ananipa ushauri na inanitisha kwakweli..naomba nijuishwe hatua zote toka Brella mpaka TRA.