wehoodie
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 1,031
- 1,013
wadau
nimempigia simu my nikka leo kumjulia hali....akawa anaraha kabisa...akanieleza kuwa usiku uliokwisha alipata kilevi katika baa moja baada ya kilevi kukolea na mishebeduo ya bar maid, akajikuta amekwenda na yule mhudumu ambapo anasema kinachomkwaza hasa ni kuwa hakutumia gloves kwenye hiyo huduma ya haraka. Sasa nikamshauri kuwa awe mpole tu pengine mhudumu ni salama......sasa hivi nimekumbuka kuwa kuna dawa ambayo wahanga wa ubakaji hupewa kuondoa uwezekano wa maambukizi ndani ya muda fulani. Mwenye ufahamu tunaomba maelezo ya dawa ili nimshauri jamaa angalau apunguze wasiwasi:
updates: kufuatia ushauri wa mdau kuwa hiyo post exposure treatment inatakiwa jamaa apime then apatiwe 1month dosage; jitihada za kupata wataalam wa hiyo huduma katika hospital zimegoma kwa kuwa leo ni jumapili hivyo mpaka kesho. Wakati huo huo masaa 72 yamakaribia hivyo ili kupata uhakika nimemshawishi jamaa amshawishi huyo mhudumu wakapime pengine hana kitu. Nimefaciliate hiyo discussion remotely na binti amekubali kwenda kupima baada ya ushawishi mwingi. Kwa ufupi binti hana wasiwasi anajiamini yuko poa na kuwa alikuwa akimzimikia jamaa wala hana kawaida ya kugawa tamu yake hovyo hivyo jamaa asiwe na wasiwasi. Kesho asubuhi wanaenda wote kufanya blood screening. Update ya matokeo ya upimaji itafuata kesho.