Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 51
Mwenye Gari DCM TOYOTA(GOBOLE) ambalo ninatatembea au limesimama na bodi yake iwe haijachomwa bei 8M nataka kuanza biashara mbagala mwenge. au hata kama linatembea lipo barabarani, KWa upande wa Mission wenye nalo. Asanteni mwenye kuleta Offer 1M
Duh! You are looking for troubles out in the open.
Asanteni sana ila mimi sipo nchini nipo Italy nataka kuwekeza kwani nimesikia GoBOLE linaleta hesabu nzuri poa nitapiga hiyo simu asante