Urgent: Nafasi ya kazi

Firefox

Senior Member
Joined
May 10, 2011
Posts
127
Reaction score
73
update:
Nishapata mtu wakuu, ikitokea uhitaji mwingine nitawafahamisha, ahsanteni sana.

poleni na majukumu wakuu.

Natafuta mtu atakayenisaidia kuweka post kwenye blog yangu kwa sababu

mimi nimekuwa busy na shughuli nyingine lakini pia sipendi nisii update kwa

sababu inapata visitors kila siku lakini haiko update.

Blog yenyewe ni kwa ajili ya nafasi za kazi na matangazo mengineyo,

so utakuwa ukizitoa kwenye magazeti ya daily news na/au the guardian.

Kama upo interested nitumie e-mail.

sifa:

uwe na computer na internet connection.

Nitakuwa namlipa tsh. 300 kwa kila post moja, so kwa siku ukiweka post 10 utakuwa na tsh. 3000. per day.

Karibu sana.


P.s

"dau litakuwa likiongezeka kutokana na mafanikio atakayoleta.
"
 
Hiyo Ela hata data charges haiwezi kukava hivyo omba msaada tu.
 
ts a nice offer but who will be buying the newspapers n internet packages!!!!cz seriously....,we nid to mek sure the costs rnt higher than the pay
 
Nipigie mkuu tuongee zaidi.namba zangu ni 0655222214 na 0788532827.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…