URGENT: Nahitaji kusafirisha trekta kutoka mbeya kwenda Mwanza

James88

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2017
Posts
1,700
Reaction score
1,765
Habari wanajukwaa,

Kama title inavoelezea, kuna trekta lipo Mbeya and ninahitaji kulisafirisha kuelekea Mwanza. Nahitaji msaada wa gari ambalo liko empty ili niweze kulisafirisha.

Kama unaweza kunisafirishia, tunaweza kuongea biashara. Kwa kurahisisha unaweza kunicheck kwa 0673319105 Karibuni
 
Nenda pale yanapopaki malori forest pale... Zungumza na madreva utapata jibu
 
hebu jaribu kuangalia usafiri wa tren ka upo toka mbeya to mwanza ka haupo analia wa kuunga maana kwaupande wa malori itakugharimu bei kubwa sana hasa kwa lori tupu
 
Mkuu nitafute wewe uko wapi.....
Kama bado ni check.

Mbeya - MZA njoo tufanye biashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…