Urgent: Natafuta nyumba ya kupanga, Bajeti 200,000 (Kinyerezi, Kimara, mbezi Africana ingependeza zaidi)

Urgent: Natafuta nyumba ya kupanga, Bajeti 200,000 (Kinyerezi, Kimara, mbezi Africana ingependeza zaidi)

Civil Eng

Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
22
Reaction score
16
Wakuu kwema?

Wakuu natafuta nyumba ya kupanga, mkataba nakokaa umeisha. Hali ya uchumi imeyumba hivyo nimeona sitaweza kulipa pesa nayolipa hapa, hivyo natafuta nyumba ya nusu bei ya hapa. Iwe na vyumba viwili vya kulala, jiko, sebule, dinning room, choo, bafu, umeme wa kujitegemea, maji na usalama pia(fence)
Na ningependa mkataba wa miezi mitatu (3) kwanza.
Madalali hela ya mwezi sina kwa kweli, ila najua tunaweza elewana (Tunasaidiana kibinadamu)

Nyumba isiwe mbali sana na main roads/kituo cha daladala

Tuwasiliane: 0679 395775
 
Hiyo 200,000 Kodi ya muda gani ?
I mean mwezi, miezi sita au mwaka ?
 
Kinyerezi mpigie uyu anayo nyumba ya bei io na izo viru zote 0677314296
 
Kwa Mbezi mcheki huyu 0763056304 anaitwa Ema
 
Back
Top Bottom