Shukrani sana kakaKinyerezi mpigie uyu anayo nyumba ya bei io na izo viru zote 0677314296
Kwa mwezi mkuuHiyo 200,000 Kodi ya muda gani ?
I mean mwezi, miezi sita au mwaka ?
Laki 2 unapata nyumba fresh!! Mpigie huyu atakusaidia 0654 400 400 Dalali Sim
Check vizuri namba, nimempigia kasema hajui lolote kuhusu nyumbaLaki 2 unapata nyumba fresh!! Mpigie huyu atakusaidia 0654 400 400 Dalali Simba.
MkuuHiyo 200,000 Kodi ya muda gani ?
I mean mwezi, miezi sita au mwaka ?
Jamaa analalamika umetoa namba feki. Umefanya makusudi au bahati mbaya?Laki 2 unapata nyumba fresh!! Mpigie huyu atakusaidia 0654 400 400 Dalali Simba.
Ngoja niangalie nimeisave vipi? Labda Typo.Jamaa analalamika umetoa namba feki. Umefanya makusudi au bahati mbaya?
Mkuu huyu manzi anasema yupo Arusha na hata hafanyi hizi mambo. Check vizuri nambaMcheki huyu0687814186
Mkuu hata sijapata, wajuba wengi wenye nyumba wanaokaa miezi 6. Dah nami nitajenga zangu kulipia ni mwezi mmoja mmoja kwa kila anayetaka
Piga hizi no 0712413141, 0683597453 na 0752436347 madalali wa kimara hao uwe makini tu na uhakika na nyumba ndio unalipiaMkuu hata sijapata, wajuba wengi wenye nyumba wanaokaa miezi 6. Dah nami nitajenga zangu kulipia ni mwezi mmoja mmoja kwa kila anayetaka