Urgent need crdb visa card billing adress

Msamiati

R I P
Joined
Mar 6, 2011
Posts
1,063
Reaction score
700
Naombeni msaada wana jamii Nafanya online purchases nimesha jaza form ya benk lakini tatizo nashindwa kuifahamu billing adress msaada
 
Hii ni address yako ambayo uliiandikisha wakati unafungua akaunti.
 
kakakadi yangu imekuja na adress imeandikwa

BOX NO 67177 DSM KIGILAGILA 078563617

SASA SIJUI KWENY TEXT BOX NILIPOULIZWA ADRESS NINI NIANDIKE NINI NIACHE
 
Inategemea hiyo tovuti unayonunulia hivyo vitu inakubali P O Box.
 
kakakadi yangu imekuja na adress imeandikwa

BOX NO 67177 DSM KIGILAGILA 078563617

SASA SIJUI KWENY TEXT BOX NILIPOULIZWA ADRESS NINI NIANDIKE NINI NIACHE

Wewe ndio ulitoa anuani kwa bank wakati mnasainiana mkataba kuwa watakupa huduma ya kibenki. Sasa ile akaunti uliyoweka ndio hiyo inayohitajika hapo. Kama uliweka hiyo BOX NO 67177 DSM KIGILAGILA basi ndio billing address yako. Zaidi ya hapo inabidi uwasiliane na tawi lako la crdb.
 
Ahsante Brother marco nimeamua kutumia mastercad imekubali
 
Back
Top Bottom