Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 51
Wana JF habarini za Usubuhi poleni na majukumu ya hapa na pale.
Naomba msaada wa haraka nikitaka kufungua kitu kwenye my computer hakifunguki na mimi natumia NOD32 ANT VIRUS kwani pia inagoma ku update sasa naombeni msaada. Naenda kwenye my computer na open then nataka kama Drive C au F ni open inagoma. na Msaada mwingine ni kuhusu hii NOD32 inagoma ku update sasa mimi nimeshindwa kua update naombe msaada kwani hata maswali yangu nimeyaweka kama story please nahitaji mda huu.