Mkuu hebu jaribu kufuata hatua hizi labda zaweza kusaidia kuondoa tatizo lako
1.Fungua
Start>>
Run kisha type
cmd na upress
Enter..Hii itafungua command prompt window,kwenye command prompt window type hatua zifuatazo
2. type
cd\
3. type
attrib -r -h -s autorun.inf
4. type
del autorun.inf
5. now type
d: and press enter for d: drive partition. Now repeat steps 3 and 4. Similarly repeat step 5 for all your hard disk partition.
Baada ya hapo Restart computer yako..kama mambo yameenda fresh tatizo lako litakuwa limeisha
NB
Kama vp waweza ku right click pale kwenye drive unayotaka kufungua then una click Explore(kama una shida sana ya kuziangalia hizo files) hapa drive itafunguka na unaweza kuangalia mafaili yako
Ikishindikana kabisa itabidi uformat upya Drive C yako na kuweka Antivirus nzuri au unaweza kufungua hapa
http://www.troublefixers.com/scan-a...uninf-with-autorun-eater-virus-removal-tools/ na hapa
http://www.troublefixers.com/tag/autoruninf/