Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 51
acha ujuha hiyo ni elimu pana, hujajua kama madhabahu huajiri watenda kazi? maana imeandikwa asiyefanya kazi na asile, na kashi ya madhabahu ni kukesha kwa maombi kwa ajili wasyoijua elimu ya maandiki kama weweOP, mambo ya fungu la kumi nini? kweli wa madhabauni atakula madhabahuni
wasiliana na nasi kwa +971 50 8522237 au +971 50 6553398 usaidiwe zaidiWana JF habari wakubwa??
Naomba Ushauri nataka kununua Nissani Civilian Bus ili nifanya daladala sasa naomba ushauri kwa mwenye kujua aina nzuri ya Magari hayo maana mimi nataka kununua Engine ya BW40. year 1997 CC 3500 sasa aina ni nyingi sana. Sasa ili nisije kushindwa kulipa huu mkopo nataka nipate kitu nikae nacho miaka Mitano. Naomba ushauri tafadhali.
Wana JF habari wakubwa??