Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 51
Umeseama komyuta za ofisini zimeuiliwa kudownload. na bado unataka mtu akutumie.poa KANG lakini huku nilipo cafe ipo mbali kwani watu woote wanatumia computer za kwao sasa mimi kilaptop changu kibovu sasa ndo maana natumia za ofisi, Mimi nitumie Software tu kwani ukinitumia ku install inawezekana natumia 32bit window xp pro. lenovo. asante