Computer yangu inachelewa ku run XP wakati unaiwasha inachukua muda sana kuwa sasa nina wasiwasi kwani mtu niliomuazima alikuwa anadownload vitu kibao sasa naona Miprogram hiyo ina run natakla nikiwasha Iwake Fasta kwani nilijaribu kurecovery lakini inakataa sasa inahitaji kuinstall upya sasa nimeona nilifikishe kwenu kama inawezekana basi niiokoe maana inachukua dk 30 kuwaka, nilijaribu kuingia kwenye net nimeambiwa niirun msconfig sasa hata run yenyewe siioni sasa msaada,Samahani nimeshindwa kupanga maelezo